Simba SC inajiandaa kuanza kampeni ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa kuwakaribisha Stellenbosch ya Afrika Kusini kesho Jumapili katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo Mnyama huyo wa Msimbazi anarudi dimbani kusaka ushindi muhimu nyumbani kabla ya mchezo wa marudiano kule Afrika Kusini huku Mnayama akiwa na kauli mbiu ya “HATUISHII HAPA” baada ya HII “TUNAVUKA”
Sasa wewe kama Mnyama na Shabiki kindakindaki wa kandanda lipia kifurushi chako mapema kwa kupiga *150*53# au 0659 070707 kujiunga ili kutazama pambano hili kupitia DStv chaneli 227 kwa Tsh 27,000 tu kutazama wekundu wa Msimbazi wakikithibitisha kuwa Mnyama halali mchana.
Habari Nyingine:
Ahmed Ally Hana Hatia Ushahidi Haujatosha
Ally Kamwe Apigwa Faini Ya Mil.5
Azam Fc Yaiomba Nafasi Ya Kimataifa: Mchakato Mgumu Ulio Mbele Yao
Leave a Reply