Kwa Waombaji Kazi Mlioitwa Kwenye Usaili Kwa Tarehe 23-25 April,2025 Zingatia Haya

WAOMBAJI KAZI MLIOITWA KWENYE USAILI KWA TAREHE 23-25 APRILI,2025 MNATAKIWA KUZINGATIA KANDA ZA KUFANYIA USAILI KAMA ZILIVYOONESHWA KWENYE TANGAZO LA VITUO VYA USAILI.

Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili,

Mfano; Kama upo Mkoa wa Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi na Mtwara usaili wako utafanyia Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama upo Mkoa wa Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi, Ruvuma na Njombe usaili wako utafanyia Mkoa wa Mbeya.

Hakikisha unakwenda kwenye Kanda yenye Mkoa wako, Mpangilio wa mgawanyo wa kanda, vituo vya usaili kwa kada na mikoa yake upo kwenye tovuti ya www.ajira.go.tz.

Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI

Imetolewa na;

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI

USAILI WA TAREHE 23 – 25 APRILI 2025

Makala Nyingine:

Mchanganuo Wa Vituo Vya Usaili Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La ii (records Management Assistant Ii) Waliopangiwa Kufanya Usaili Kanda Ya Dar Es Salaam

Vituo Vya Usaili Wa Kuandika Kwa Kanda 2025

Matangazo ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Na Ajira Portal 2025

Tangazo La Kuitwa Kazini Benki Kuu Ya Tanzania (BOT) 17-04-2025