Ni siku nyingine tena na ni usiku mwingine tena wa kusanyiko jingine tena kusherehekea muungano mpya wa Wanandoa Juma Mussa Mkambala ( Jux ) na Mke wake Mnigeria Priscilla Ojo ambapo leo katika Jiji la Lagos inafanyika harusi ya kimila huku April 19 siku ya Jumamosi ikitarajiwa kufanyika sherehe kubwa ya Wanandoa hao.
Watanzania mbalimbali wamejitokeza kumsindikiza Jux hadi Nigeria akiwemo Mwimbaji Staa Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Billnass, Gnako, Mtangazaji maarufu wa JAHAZI HD CloudsFM Hamisi Mandi ( B Dozen), Meena Ally, MC Gara B na wengine.
Juma na Priscilla !! Wishing you an everlasting union.
Leave a Reply